Pages

Subscribe:

Tuesday, March 13, 2018

TUNDA NA CASTO WAKANUSHA KUTOKA KIMAPENZI WAJA NA KAULI YA PROJECT

Baada ya kuonekana kuwa karibu na kuibua headlines mitandaoni kati ya Staa Tunda na Mtangazaji Casto Dickson kudaiwa kuwa wanatoka kimapenzi, sasa mastaa wote wawili wamepatikana tena wakiwa pamoja ambapo wamezungumzia hilo. 

Casto Dickson amesema kwamba yeye ni meneja wa Tunda na kuna project mpya inakuja inayowahusu ma-house girl ambapo Tunda atakuwa Balozi wao na kwa upande wa Tunda na yeye alisema ni...
kweli ni project inakuja ila watawaeleza mashabiki ikishakamilika.

0 comments:

Post a Comment