Pages

Subscribe:

Sunday, March 11, 2018

TUNDA AAMUA KUJITOKEZA HADHARANI NA KUMUOMBA MSAMAHA AUNT EZEKIEL


Video vixen Bongo, Tunda amemuomba msamaha Aunt Ezekiel kufuata ugomvi wao uliotokea siku za nyuma.

Wawili hao waliingia katika ugomvi mkubwa na kufikia hatua ya kutupia maneno makali katika mitandao ya kijamii. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika...

Chanzo cha ugomvi wao kilielezwa ni baada ya Tunda kwenda katika duka la Aunt na Iyobo na kuchukua pombe bila kulipwa, video vixen huyo alipokuja kuulizwa na Aunt kupitia mtandao ndipo ugomvi ukaanza hadi kufikia hatua ya kumtukana mtoto wa Aunt Ezekiel na Iyobo.

0 comments:

Post a Comment