Pages

Subscribe:

Wednesday, March 14, 2018

RICK ROSS KUJA NA BIDHAA MAALUM ZA NYWELE NA NDEVU


Msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani, Rick Ross yupo mbioni kuingiza sokoni bidhaa zake kwa ajili ya nywele.

Rapper huyo anayetamba na ngoma ‘Florida Boy’ aliyoshirikiana na T-Pain na Kodak Black, ameeleza kuwa bidhaa hizo zitaingia sokoni April mwaka huu. Bidhaa hizo ambazo ni...
mahususi kwa nywele na ndevu zitajulikana kwa jina la RICHbyRickRoss. Habari hii njema inakuja zikiwa ni siku chache zimepita tangu k

0 comments:

Post a Comment