Pages

Subscribe:

Tuesday, March 24, 2015

WOLPER AJIVUNIA MPENZI WAKE ALIYE MPA GARI

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Jacqueline Wolper ametupia picha hizi kwenye ukurasa wake mtandaoni na kuziandikia maneno kwa lugha ya “Malkia”. “Being with someone who won't give up on you”. Akaandika tena “Be with someone who is proud to have you. Thug life mentality”. Kauli hizi zinaonyesha mrembo huyu kwa sasa yupo kwenye mahusiano na mtu ambaye anampenda na... anaonyesha kumajali sana mrembo huyu na pengine kwa swaga za mitandaoni , naungana na wengi waliompongeza kwa kupewa ndinga hilo na huyo anaesifa hapo. Mzee wa Ubuyu.

0 comments:

Post a Comment