Pages

Subscribe:

Saturday, March 14, 2015

WIMBO MPYA WA OMMY DIMPOZ WAPONDWA ILA VIDEO YASIFIWA

Baada ya Video mpya ya Ommy Dimpoz Kutoka Jana Baadhi ya Watu wakiwemo bloggers Maarufu kama U-turn Wameendeleza kuponda tunzi na melody za nyimbo zinazotolewa hivi sasa hasa kutoka kwa wanamuziki wakubwa. Tukija kwenye hii nyimbo mpya ya Ommy Dimpoz ya Wanjera Wengi wamesema hakuna... jipya kwenye wimbo na mashairi ila Video imetokea bomba hivyo wanadai kuwa wimbo huo umebebwa na video. Je, nini maoni yako?

0 comments:

Post a Comment