Pages

Subscribe:

Wednesday, March 25, 2015

NAY ACHUKUA KWA MTOTO ANAYE DAIWA KUWA SI WAKE

Nay wa Mitego na Mtoto wakeNay wa Mitego Amesikitishwa na Kauli ya Mzazi mwenzake SIWEMA ambaye wamezaa naye mtoto kwa kusema kuwa mtoto huyo si wa kwake bali ni wa aliyekuwa Mpenzi wake wa zamani Obasanjo. Japo Wahenga wanasema Kitanda hakizai Haramu Nay wa Mitego amehabarisha kuwa... yupo Radhi kupima DNA ili kubaini kama mtoto ni wake ama la? *Unamshauri nini Nay wa Mitego?

0 comments:

Post a Comment