Pages

Subscribe:

Friday, March 20, 2015

ROSE MUHANDO AMKUBALI H-BABA

Mwanamuziki wa Injili kutoka Tanzania Rose Muhando ameleta utata mtandaoni baada ya kutoa sifa za kuonyesha kumkubali Mwanamuziki wa Bongo Fleva H-Baba kwa kazi yake mpya Show Time,Rose Mhando alitoa sifa hizo baada Msanii wa Bongo Fleva H Baba akiwa na Mwibaji wa nyimbo za injili Tanzania Rose Mhando. Baada ya kushuhudia show aliofanya H Baba na wimbo wake mpya wa Show Time. Rose Mhando alinukuliwa akisema kuwa... show aliyoiona kwa H Baba na huo wimbo wake mpya ni matata sana na kama akiendelea kutoa nyimbo kama hiyo hakika wasanii wenzake wanatashidana sana lakini hawataweza kumfikia.

0 comments:

Post a Comment