Pages

Subscribe:

Friday, March 13, 2015

HII NDIYO LIST YA WANAFUZI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM WALIO POTEZA MAISHA KTK AJARI YA IRINGA

Takribani wanafunzi watano kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam wamepoteza maisha katika ajali iliyotekea juzi Wanafunzi hao walikuwa wakirejea chuo baada ya likizo kuisha. WALIOFARIKI WATANO NI 1. CHIWANGU DIDIMO (mwaka wa 3) 2. KILLEO ERICK ( mwaka wa 3) 3. SOSTEN DAUD (Mwaka wa 3) 4. WATSON JEREMIA (Mwaka wa 2) 5. MBAULE FRANK (Mwaka haujajulikana) na... MAJERUHI WAWILI 1. TUPATE MOSIGWA (Mwaka wa 1) 2. RAPHAEL NELBERT (Mwaka wa 1) Tunawapa pole Wale wote walio fikwa na msiba.

0 comments:

Post a Comment