Pages

Subscribe:

Tuesday, March 17, 2015

DANNY LOVE KUITEKA BONGO FLEVA KWA MARA NYINGINE


Ukimsikiliza kwa haraka nyimbo zakeunaweza sema ni Rama Dee kutokana na aina ya muziki anao fanya na sauti za wawili hao kuweza kufanana haswaa, Si mwangine ni yule yule hit maker wa wimbo wa Bushea anajulikana kama Danny Love. Pia ndiye mtangazaji wa Love Maker Online Radio ambayo vipindi vyake huwa...
vinapatikana hapa hapa kwenye blog yetu, Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu sasa Danny Love anatarajia kuachia Wimbo mpya utakao kwenda kwa jina la Safari.

Akiongea hivi karibuni Danny alisema: "Ni mziki mzuri hivyo watanzania wawe tayari kuopokea kwani Safari naamini ni ngoma kali kuliko hata zole nilizo zifanya mwanzo kama vile Play Boy na Bushea wataipata kwenye blogs zote hapa nchini na pia wataweza hata kuisikia ktk vituo mbali mbali vya redio hapa nchini" Alimaliza kwa kusema Naombeni Sapoti yenu kwani ni muhimu sana kwangu.

0 comments:

Post a Comment