Pages

Subscribe:

Sunday, March 29, 2015

NAY AFANYA KWELI... AAMUA KUPIMA DNA

Mwimbaji Nay wa Mitego ametimiza ahadi aliyosema kuwa atapima DNA kujua kama kweli mtoto aliyezaa na Siwema ni wake ama la baada ya Siwema kudai kuwa mtoto huyo si wake bali ni wa Obasanjo. Nay wa Mitego amehabarisha kuwa amepima DNA kwa Mwanakemia mkuu na Kuambiwa kuwa majibu yatatoka mwezi wa nne tarehe 8.

0 comments:

Post a Comment