Pages

Subscribe:

Sunday, March 29, 2015

R.I.P: BOSI NA MWANZILISHI WA KUNDI LA TIPTOP CONNECTION ABDU BONGE AFARIKI DUNIA

Tasnia ya muziki wa kizazi kipya jana imepata pigo baada ya muasisi wa kundi la muziki la tiptop Abdul TaleTale (Abdul Bonge) kufariki jioni ya jana jumamosi.
Abdul amefikwa na mauti alipokuwa akikimbizwa katika Hospitali ya Mwananyamala baada ya kusukumwa na kuanguka alipokuwa akiamulia ugomvi wa... vijana karibu na nyumbani kwao Magomeni Kagera.

Marehemu atakumbukwa kwa kazi yake nzuri ya kuwaibua wasanii kama Madee, MBDog, PNC, PINGU NA DESO, KEYSHA, Z ANTON na Nk

Marehemu alipumzika kujishughulisha na Muziki na kumpisha Mdogo wake BABU TALLE Kuendelea na kazi hiyo.

0 comments:

Post a Comment