Pages

Subscribe:

Friday, March 20, 2015

DIAMOND ASHTUSHWA NA HABARI ZA MIMBA YA ZARI KUCHOROPOKA

Mwanamuziki ambaye pia ni Rais wa Wasafi Classic Baby (WCB, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ameshangazwa na madai kuwa eti mimba ya mpenzi wake Zarina Hassan ‘Zari’ imetoka na kuwataka Wabongo kuacha tabia ya uzushi. Akizungumzia madai yaliyokuwa yamezagaa mtandaoni kuwa ile mimba yake aliyokuwa akiilea kama yai kwa Zari imechoropoka, Diamond alisema: “Hee! Eti mimba ya Zari imetoka! Wanaosema hivyo... walaaniwe. Mbona Wabongo wazushi sana, itakuwaje hivyo halafu nisijue. Zari yuko fiti na mimba inaendelea vizuri, ona picha za kitumbo (akamuonesha paparazi picha za Zari kwenye simu yake).

0 comments:

Post a Comment