Pages

Subscribe:

Wednesday, March 11, 2015

UJUMBE MZURI WA LULU KWENYE INSTAGRAM WAVUTIA WENGI

Mrembo na staa wa Bongo Movie, Elizabeth Michael ‘Lulu’ leo kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram ameandika ujumbe  mzuri ambao  kiukweli unaweza kukupa nguvu zaidi kufikia malengo yako kama mtu unaejitambua...
“The more they try to slow you down on the road of purpose, the faster you have to go..!
You only meet opposition when you're going the right way”

Kwa tafsiri isiyo rasmi anasema “kwa jinsi wanavyozidi kujaribu kukurudisha nyuma katika njia ya mafanikio ndio inakubidi uongeze mwendo…..na utapingigwa tu pale unapokwenda njia sahii”.

Kwa upande wangu, huu ni ujumbe mzuri sana ambao ningependa niulete hapa  kwenu wadau ili nanyinyi muuchukue kama changamoto ya kufanyikisha mambo yako.

0 comments:

Post a Comment