Pages

Subscribe:

Wednesday, March 11, 2015

SARMY CLEVER: NAPENDA PESA NA UMAARUFU


Hivi karibuni ktk upekuzi wa hapa na pale mwandishi wetu alikutana na msanii
wa nyimbo za kizazi kipya Sarmy Clever akapata nafasi ya kuzungumza naye mawili matatu kuhusu maishayake ya muziki na nje ya muziki, Sarmy alieleza mambo mengi ikiwemo shida alizo wahi kupitia ktk maisha yake. Na alinifurahisha nilipo muuliza nini anacho kipenda kutoka kwa mpenzi wake Sarmy alisema...


MAHUSIANO: nina girlfriend

SIFA ZA MKE WA KUOA: msikivu, mvumilivu , nidhamu, apende ninachokipenda, mchapakazi.

RANGI YA MWANAMKE NINAYE MPENDA: black beaut, asiyetumia mkorogo

IDADI YA WANAWAKE KIMAHUSIANO: 3

KUACHWA: sijawahi

MATUNDA NINAYO YAPENDA: nanasi, embe, chungwa, parachichi

MAVAZI NINAYO YAPENDA: yeyote yaliyopo kwenye karne,haswa jeans na t-shirt

MTOTO: sina

VIATU NINAVYO PENDA: raba za kupanda aina ya nike, rangi red, white na mixer colour

VINYWAJI: juice ya matunda ,togwa

CHAKULA: ugali dagaa, wali samaki na tambi

NGUO ZA NDANI: navaa boxer za adidas

SIMU NINAZOPENDELEA: microsoft lumia 535, iphone5 na huawei h6

KITU NINACHOMILIKI CHA GHARAMA: flat screen ya samsung tsh 1.8 milion,
kiwanja singida, ila kiufupi nina vitu vingi staki kuviweka hadharani

AINA YA MZIKI NINAOPENDA: Rnb, zouk, mduara, afropop, qasweda

MSANII NINAYEMKUBALI BONGO: diamond na mb dog,

NJE: chriss brown

WIMBO NINAO UKUBALI MIAKA YOTE: kamwambie by diamond

MOVIE: action na family

MWIGIZAJI BONGO: king majuto,

NJE: hong bak

ZAWADI NINAYOPENDA TOKA KWA MPENZI: yeyote mradi ni zawadi niloletewa na mpenzi wangu

ZAWADI TOKA KWA RAFIKI: upendo wa dhati bila kunisaliti

KILA NIFIKAPO HOME KITU CHA KWANZA KUKIANGALIA: kitanda changu

KATI YA PESA NA UMAARUFU: pesa na umaarufu

KILEVI: situmii chochote

UPATE UMAARUFU AU PESA: naimba nipate pesa ili niweze saidia jamii na ndugu zangu

MCHEZO NINAOPENDA: mpira wa miguu na bao lakete

TIMU ZANGU NI: simba na man u

IKITOKEA UMEVAMIWA NINI UTAOMBAWEZI WAKUACHIE: uhai wangu tu

JAMBO NISILO KUJA KULISAHAU: kutengana kwa wazai wangu nikiwa mdogo
sana na kutokuishi nao na kuishi kwa ndugu walinitesa sana walinipiga
sana na mwili wangu kujenga sugu na vidonda,kulala njaa,kiufupi sijafaidi
malezi ya wazazi wawili mama baadae ndo alinichukua na kunilea kwa
 uangalifu nampenda sana mama

MWANAMITINDO BONGO: martin kadinda

NJE: timberlake, beckam

AINA YA RAFIKI NINAYE MPENDA: wanaojituma wasio ombaomba na watanashati,
wasio penda kugombana,na wanaosaidiana kwenye shida na raha

JINSIA YA MTOTO WA KWANZA: napenda mwangu wa kwanza awe wa kiume

WIMBO WA KWANZA: nilifanya na maru kwa producer zest,ila sikuupenda
kutokana na producer kutokuipenda kazi yake,nkaenda kuurudi kwa
producer mwingine anayeitwa berry k na kutoka ukaitwa ni wewe
ndo wimbo wangu wa kwanza,

NYIMBO NINAYO IKUBALI KTK NYIMBO ZANGU: naikubali sana hii ya tausi kwa sababu imenionyesha njia kubwa sanana mm kujulikana kiurahisi na watu wengi umenipa mashavu kwa wasanii wakubwa, na umependwa sana na watoto wa kike,naupenda sanaaa.

0 comments:

Post a Comment