Pages

Subscribe:

Wednesday, March 11, 2015

MTOTO WA AJABU AZALIWA MKOANI SHINYANGA

Maskini Huyu mtoto amezaliwa usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya serikali ya Shinyanga akiwa na Vingo sehemu zisizo sahihi na baada ya muda alifariki Dunia Najiuliza kwa Sauti Je nini Sababu za Watoto Kama Hawa ? Kwani matukio ya wazazi kujifungua watoto wa ajabu yamekuwa mengi nyakati hizi.

0 comments:

Post a Comment