Pages

Subscribe:

Thursday, March 8, 2018

FAHAMU NAMNA YA KUONDOA UWEUSI UNAO JITOKEZA SEHEMU YA SIRI

Linapokuja swala la sehem za siri well ni private na personal na it can be embarrassing to alk about ila tuwe tu wa kweli wote tuna weusi flani hivi hata kwa mbali lakini upo ,so tushee pia elimu na kusaidia jinsi ya kutoa weusi huo au kuupunguza tu.

Weusi kwenye private areas ni very common especially kwa wanawake na wengi na wanataka sana kutoa weusi huo kwenye mapaja, makwapani, kwenye kingo za sehem ya siri etc , na...
may be ushawahi kujiuliza kama inawezekana kuutoa kwa kutumia njia za asili.

So kisayansi hii skin condition according to American Academy of Dermatology imepewa medical name acanthosis nigricans (AN).

Mbali na mapajani ngozi nyeusi hii yaweza kua makwapani na shingoni pia. Kama una hili tatizo mcheki Dermatologist wako akuelezee zaidi na kujua kama tatizo ni kubwa au la. Na inasemekana kwamba swala hili lina wa affect sana watu wa African Descent.

Waweza kupa hili tatizo au likajitokeza baada ya kua na kisukari ,obesity au  glandular disorder. Experts wamegundua kwamba hata vitu kama njia za uzazi wa mpango za kunywa zinaweza leta hili tatizo, Hakuna aibu kama una hili tatizo maana linakumba watu wengi na wengi wanaogopa kusema.

Lucky njia zipo nashare baadhi kama wajua zingine tuelezee kwa comments

Lemons/Limao

Citric juice inatoka kwenye limao ina health benefits nyingi ikiwemo Vitamin C  base,So unachukua juice ya limao halafu una massage sehem yenye tatizo /discolored areas ,Acha kwa dakika 10 halafu osha na maji ya vuguvugu.

Matokeo utaona within a month  sehemu hizo zinakua na more even  skin tone,Ila usi shave near the private areas mara tu baada ya kupaka juice ya limao sababu it stings.

Sandalwood and Rose Water

Hizi zipo sehem za maduka ya dawa asili au maduka ya kihindi ,Nenda ulizia Rose water na Sandlawood ni unga wa mbao wanasema Indian Sandalwood ndo the best .

So wachukua unga wa sandalwood waweka 10 drops of rose water halafu wapakaa kwenye public areas baada ya kuoga then acha kwa dakik 20 toa ,Hii sandalwood inatumika kwa miaka mingi sana na inasaidia ku lighten and soften the skin.

Rose water pia ina ng’arisha so utapaka hii combination kwa wiki mara tatu .

Aloe Vera Gel

Wengi huwa tunashauriwa kupanda mu Alovera majumbani kwetu kwa kiswahili ni shubiri eeh ,kama huna basi ,so wachukua majani yake unatoa yale maji yake sijui tuite utelezi wake unapaka na ku massage sehem zenye weusi then iache kwa dakiki 20 halaf osha na warm water (Maji ya vuguvugu).

Nashauri ukipaka vaa gloves au mfuko ule uchungu huwa mkali na hautoki kirahisi,ila kama kuna mwenye kujua njia ya kutoa ule uchungu wake faster atuelezee pia,
Waweza paka hii baada ya kuoga ,Alo vera imekua inasaidia sana to fade discoloration.

Plain Yogurt

Plain yougurt ile ambayo haina utamu au kuwekwa sukari,unahitaji plain one ambayo ndo inasaidia kwenye kung’arisha .kingine ina feel so cool and soothing, Massage some yogurt on the dark areas of your skin and leave it on for 15 minutes. Then wash off with warm water. Do this daily for several weeks until you see results.

Orange Juice and Turmeric/Manjano

Wahindi wanajulikana kwa kupenda manjano na ni sababu for years wamekua wakipata faida kibao kwa kuitumia,sana sana inasaidia sana ku lighten the skin.
Limao na machungwa yana bleaching agents so ni perfect kwa kutoa weusi huo kwenye mapaja au makwamba na shingoni pia.Changanga vijiko viwili vya juisi ya chungwa na a pinch of tumetic ,then apply kwa sehem zenye weusi acha dakika 20 then wash it off ,ukipaka una massage usipake uache tu,sababu uki massage the dead skin cells nazo zinatoka inakuacha uko smooth and soft.

0 comments:

Post a Comment