Pages

Subscribe:

Thursday, March 8, 2018

Lyrics: Mesen Selekta - Kinanda Ft Rayako (Official Lyrics)

Image result for lyrics
[Verse 1]
(RAYAKO)
Mrembo mwenye haiba usoni,                             
Uzuri usio na kifani,
Sauti yake ringtone,
Haiwezi ntoa mchezoni,

kinanda,
sauti yake minor ikipanda,
kwako nimeshafika sasa ya nini kudanga,

You my baby looking so wet,
Tuish maisha ya raha ama dhiki its okay,
Excuse me baby can i take you
for a date,
Kwako nimesaliti amri mateka i can say,


(MESEN SELEKTA)
Mesen
TsGang

Nimekuvisha gwanda nimekuita commander
Unafight kwa love walepale washa sanda
Nipe mama nipe mama tujenge kiwanda
Tutoe pombe zote hata wine ya kitanga
Mi najua kwamba wanaconcetrate
Nikikuacha wakunegotiate
Kwako wamengoja sana ku inishiet
Lengo lao kubwa ni kupenetrate

[Pre-Chorus]
(MESEN SELEKTA)
Mmmh
Uje nikubebe mgongoni,         Ma dear
Tucheze michezo ya utotoni,    Ma dear
Kwa furaha untazamapo machoni, Ma dear
Oyaaa Oya Oyaaa aisee aisee

[Chorus]
(MESEN SELEKTA)
Kinanda,  Mtoto sauti laini
Kinanda,  Ya kutoa nyoka pangoni
Kinanda,  Usiombe akiwa ndani
Kinanda,  Kama ndege mwituni
Kinanda,  Oooooh
Kinanda,  OOOOOooh
Kinanda,  Oooh
Kinanda,  Oooooooh

[Verse 2]
(MESEN SELEKTA)
Tupa shuka (tupashuka) uje kunikanda
Hebu shika panga uje ulime shamba
Sing for me sing a song we kinanda
Ukichoka sana jilaze kwenye kibanda
Ulivyojinogesha usoni
Umewafunga midomo
Utamu wa lips zako show me
Njoo tushikane mikono
Ulivyojinogesha usoni
Umewafunga midomo
Utamu wa lips zako show me
Njoo tushikane mikono (we umenibamba asee)

[Pre-Chorus]
(MESEN SELEKTA)
Mmmh
Uje nikubebe mgongoni,         Ma dear
Tucheze michezo ya utotoni,    Ma dear
Kwa furaha untazamapo machoni, Ma dear
Oyaaa Oya Oyaaa aisee aisee

[Chorus]
(MESEN SELEKTA)
Kinanda,  Mtoto sauti laini
Kinanda,  Ya kutoa nyoka pangoni
Kinanda,  Usiombe akiwa ndani
Kinanda,  Kama ndege mwituni
Kinanda,  Oooooh
Kinanda,  OOOOOooh
Kinanda,  Oooh
Kinanda,  Oooooooh

[Outro]
(MESEN SELEKTA)
Unanikosha unavyoonyesha cheko
Baby basi ongeza hilo cheko
Unanikosha unavyoonyesha cheko

Unanikosha unavyoonyesha cheko
Baby basi ongeza hilo cheko
Unanikosha unavyoonyesha cheko
Baby basi ongeza hilo cheko

0 comments:

Post a Comment