Pages

Subscribe:

Thursday, March 8, 2018

VIDEO: GOLI LA MSUVUVA LAIPA EL JADIDI USHINDI KOMBE LA CLUB BINGWA AFRIKA


#Furaha ni nguzo yangu milele 💜👍 @club_dhj_eljadida

Jana usiku kuna baadhi ya michezo ya kombe la klabu bingwa Afrika imechezwa. 

Klabu ya Difaa El Jadidi ya Morocco ambayo anacheza Mtanzania, Simon Msuva, ilicheza na AS Vita Club ya Congo DRC na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0. Bao hilo la El Jadidi lilifungwa na Msuva kunako dakika ya...
9.

0 comments:

Post a Comment