Pages

Subscribe:

Saturday, March 3, 2018

SNURA: NAWASHANGAA SANA HAWA BASATA SIJUI WANATAKA NINI


USIKU mwema wapenzi mi ndio nishalala.......

Msanii wa BongoFleva Snura amezungumza na kuelezea kuhusu kufungiwa kwa mara ya pili kwa wimbo wake wa ‘chura’ na kufungiwa wimbo wake wa ‘nimevurugwa’ na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA).

“Wakati nafungiwa chura niliandikiwa barua kuwa nahitajika, ila hii sikuitwa wala sikupewa taarifa, Siwaelewi BASATA na nashangaa sijui wanataka nini na nini hawataki, kwa hiki kilichotokea kinanipa...
mkanganyiko” –Amesema SNURA

0 comments:

Post a Comment