Abba ametoa kauli alipokuwa anazungumza baada ya kuenea mfululizo wa tetesi zinazomuhusisha Darasa na matumizi ya dawa za kulevya na kupelekea...
kupotea katika tasnia ya muziki mpaka hii leo.
"Nashindwa kuwaelewa kwa jinsi mnavyosema Darasa haonekani sasa mmemuona vipi akiwa anatumia dawa za kulevya ?. Darasa yupo poa kabisa na labda hayo madude wanaosema wao wanayatumia wenyewe kwenye ndoto zao wanaoziota hao watu", amesema Abba.
Pamoja na hayo, Abba ameendelea kwa kusema "Darasa yupo poa na familia yake na wala hatumi kitu chochote mimi kama mwanae nasema yupo 'fresh' na kila siku nipo na Darasa na muda wote nikimuhitaji huwa nampata".
Kwa upande mwingine Abba na yeye anaonekana yupo sawa kwani ktk pita pita zangu huko insta nimekutana na post ya mwafrika aishie marekani na ni mwandaaji wa shows mbali mbali na amepost na kuipa promo show ya RayVanny na Harmonize huku pia akiwa ameandaa Show ya Msanii Darassa pia







Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment