Pages

Subscribe:

Friday, September 2, 2016

VIDEO: Diamond ft Ne-yo_Marry You [Behind The Scene]

post-feature-image
Hatimaye Diamond na Ne-Yo wameshoot video ya wimbo wao, Marry You. Video imefanyika jijini Los Angeles, Marekani. Wimbo huo ulirekodiwa kitambo baada ya Diamond kumfuata Ne-Yo Nairobi alikoenda kwenye kipindi cha Coke Studio Afrika, msimu wa tatu.

Baada ya hapo wawili hao walikutana tena Marekani kumalizia baadhi ya vipande. Mwezi May, Ne-Yo na Diamond waliuimba wimbo... huo pamoja kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, kwenye tamasha la Jembeka.

Tazama Video Hapa:

Watch Here 

0 comments:

Post a Comment