Pages

Subscribe:

Thursday, March 1, 2018

MITINDO: FISHTAIL BROWS NDIYO HABARI YA MJINI KWA WADADA WA SIKU HIZI


Fishtail Brows by @negrilamircea 😍🐠

Since the Boom of Beauty influencers,instagrammers,bloggers ambao wanaongezeka  kwenye social media kila siku tunapataka kuona new beauty trends ambazo zinakick sana kwenye mitandao ya kijamii especially instagram.

Sasa hivi from different hair trends to makeup trends tushaona kila beauty trends zingine zinakua so weird and hazina hype kubwa ila uzuri...
au ubaya wa instagram zina pull kila kitu mwisho wa siku kutuachia kuchagua tunaenda na ipi.
Eye brows zimekua zina pata limelighht over the years tena especially baada ya kuja swala la ku shape eyebrows ,tukaona trend kibao.mwaka jana tuliona brows za manyoya ,crown brows,Squiggly eyebrows,Eyebrow wigs etc 
 
Kwa sasa zilizopo kwenye chati ni hizi FISHTAIL BROWS ,may be wajiuliza inakuaje mtu anaweza make hizi brows zionekane kama samaki.

Imekua kama challenge sasa watu wanataigiana na inabidi ku accept challenge na kutengeneza brows zako.






hijabista nao wapo
 

Na huyu skyzeditz ndo alianzisha hii challenge,humo utakutana na wengine kibao walotengeneza hizi eyebrows

0 comments:

Post a Comment