Pages

Subscribe:

Thursday, March 1, 2018

NGOMA YA HAVANA YA CAMILA CABELLO NA YOUNG THUG YAZIDI KUWA TISHIO

Image result for CAMILA CABELLO - HAVANA
Havana ni moja kati ya ngoma zinazo tikisa kwenye ulimwengu wa muziki kwa sasa Ngoma imefanywa na Camila Cabello mwana dada kutoka Mexico ft young thug kutoka Marekani ngoma imetoka tarehe 3 August 2017 mpaka sasa ni wiki ya 4 mfurulizo inaendelea kushika nafasi ya 4 kwenye chat ya top 100 ya ngoma zinazo fanya vizuri duniani kwenye mtandao wa Billboard.

kwa upande mwingine kama vile YouTube ngoma hii mpaka sasa Video yake imetazamwa na watu million Mia tano Thelathini na tatu, ishirini na nane elf na...
mia mbili na moja (533,028,201) huku Audio kwa Online pekee imesikilizwa na watu 817,717,680. hizi ni takwimu nilizozipata kwa mara ya mwisho leo hii wakati nipo online hivyo kadri muda unavyozidi kwenda takwimu zinapanda.

Unaweza kuisikiliza hapa chini

Play Here

0 comments:

Post a Comment