Linah amebainisha hayo kwa kusema "Suala la ndoa zito sana, sina maana nakataa kuolewa na mzazi mwenzangu ila mambo ya ndoa sio ya kukurupuka japo natamani kuolewa kwa kuwa...
mimi ni mtoto wa kike, lakini sidhani kama nipo tayari kwa sasa hivi kuolewa. Mungu atusamehe tu tunazaa nje ya ndoa. Suala la ndoa ni la kujipanga sana", amesema Linah.
Pamoja na hayo, Linah amedai hata mzazi mwezake anafahamu fika kitu ambacho kinawakwamisha kutimiza jambo hilo la ndoa kwa wawili hao.
Mtazame hapa chini Linah Sanga akifunguka mengine zaidi.
0 comments:
Post a Comment