Timu ya watafiti kutoka Taasisi ya Teknolojia ya Massachusetts’ (MIT) wameongeza uwezo huo wa robot kufanya kazi ya kutengeneza samani, sio kwa maana ya mafundi seremala bali kuwafanya...
mafundi hao wajikite katika kutengeneza mitindo ya samani hizo.
Inaaminika kuwa teknolojia hii itaongeza usalama kwa kupunguza kesi za mafundi seremala kuumia wakiwa wanatengeneza furniture na kwamba itakuwa ni teknolojia ya bei ya chini.
0 comments:
Post a Comment