Pages

Subscribe:

Wednesday, April 20, 2016

BAADA YA KUKAA SOBER KWA MWEZI MMOJA AFYA YA CHID YAANZA KUREJEA

Toka msanii Chid Benzi akubali msaada wa kumsaidia kuachana na madawa ya kulevya na kupelekwa Sober House Bagamoyo afya yake kwa sasa inaendelea vizuri sana na mwili wake umeanza kunawiri tofauti na alivyokuwa mwanzo kabla hajapelekwa. Ikumbukwe kuwa Meneja wa Diamond na Tip Top Babu Tale ndio aliyeamua kumsaidia baada...
ya Chid kuonekana kwenye TV akiwa katika hali iliyowatisha watu wengi na kuhoji amekubwa na nini kwani mwili wake ulionekana kudhoofu sana na kukonda kupita kiasa.

 Tazama Video Hapa Akiwa Sober House baada ya Mwezi mmoja

Watch Here 

0 comments:

Post a Comment