Pages

Subscribe:

Thursday, April 21, 2016

BEN POL APATA MTOTO WA KIUME... LICHA YA YEYE KUFICHA MAMA WA MTOTO AWEKA PICHA HADHARANI

Ni kwasababu tumebaini kuwa mfalme huyo wa R&B kama anavyojiita ni baba wa mtoto wa kiume mwenye miezi kadhaa sasa! Muimbaji huyo wa ‘Ningefanyaje’ amepiga kimya lakini sio rahisi kwa mama aliyejifungua kuificha furaha ya kupata mtoto. Mchumba wa Ben Pol, Latifa Mohamed aka Queen Tipha aliyewahi kuwa mshindi wa pili kwenye Miss Tanzania 2013 ametusogeza karibu na mtoto wao. Tazama picha za Tipha na mwanae hapa..

0 comments:

Post a Comment