Pages

Subscribe:

Monday, April 11, 2016

NAVY KENZO WAPATA SHAVU AIRTEL

Kundi la  ‘Navy Kenzo’ limepata shavu la ubalozi wa promotion mpya ya Airtel ‘Jipime Airtel Yatosha’. “Tunapenda kuwataarifu rasmi kama Navy Kenzo ni Ambassador wapya wa #JipimieAirtelYatosha ambayo ni bundle mpya na...
za kipekee wewe kama mteja unaweza kujipimia chochote utakacho iwe dakika, sms au Mb pekee au vyote tu piga *149*98# #jipimieyatosha,”
nave
wameandika kwenye Instagram ya kundi hilo linaloundwa na wasanii wawili Aika na Nahreel.
nAvvy
Haya ni baadhi ya matunda ya uwekezaji kwenye kazi zao, ‘Game’ na ‘Kamatia’ ni moja ya kazi zao zilizowapa umaarufu mkubwa.

0 comments:

Post a Comment