Pages

Subscribe:

Wednesday, April 20, 2016

BARAKA DA PRINCE: WANAOSEMA NAGONGEA MAGARI NI MACHIZI TU

Tumenasa udaku kutoka mitaani kuwa msanii wa Bongo Fleva Baraka da Prince anaongoza kwa kuazima magari ya watu na kuvimba nayo mitaani. Akipiga stori na paparazi Baraka amekanusha kashfa hizo na kusema kuwa wanaosema anagongea magari ni machizi tu.

Zaidi Baraka ameongeza kuwa yeye anamiliki magari zaidi ya moja na hajawahi kuendesha gari ya mtu. Pia Baraka hakuficha kuwa kwa sasa amekwisha...

mtambulisha msanii mwenzake Naj kwa wazazi wake kuwa ndiye mchumba wake, na amemvisha pete ya ahadi kuwa atakuwa naye milele daima.

Alipoulizwa kuwa pete hiyo inamaanisha ana nia ya kumuoa Naj, Baraka alisema “Kwa hilo Mungu ndiye anayejua”.

0 comments:

Post a Comment