Pages

Subscribe:

Thursday, April 14, 2016

ALIYE KUWA MEMBER WA KUNDI LA BLUE 3 JACKIE CHARINDU AATHIRIKA NA MADAWA YA KULEVYA

Former group member wa kundi la Blue three na hit maker wa singel “Gold Diger”,Jackie Chandiru yupo kwenye hali mbaya kiafya kutokana kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya. 
 
Kwa mujibu wa taarifa ya msemaji wa polisi nchini Uganda Patrick Onyango, amedai kuwa kwa sasa mwimbaji huyo yupo kwenye kituo cha waathirika wa madawa ya kulevya kinachofahamika kama Bunnamwaya Rehabilitation kilichopo...
nje kidogo ya  jijini Kampala nchini Uganda na wanamshikilia mtuhumiwa mmoja anaedaiwa kumuingiza Jackie kwenye matumzi ya madawa hayo na kuwauzia baadhi watu jijini Kampala.
chandiruuuuuuuuu                                                                      Jackie Chandiru.

Hizi ni baadhi ya picha zinazomuonesha Jackie Chandiru alivyoathirika na madawa ya kulivya.
jackkkkkk 01                                            Muonekano wa Jackie Chandiru kwa sasa.
jackkkkk 02
Makovu yanayoonekana kwenye miguu ya Jackie,kutokana na kujidunga madawa hayo kwa njia ya sindano.
jackkkkkk 03
Makovu yanayoonekana kwenye mikono ya Jackie,kutokana na kujidunga madawa hayo kwa  njia ya sindano.
jack cocanee 04
Cocane na aina nyingine ya madawa ya kulevya ambayo Jackie amekua akitumia.

0 comments:

Post a Comment