Pages

Subscribe:

Tuesday, April 12, 2016

IGGY AZAELA ATISHIA KUUKATA UUME WA MPENZI WAKE

rs_634x951-141022121515-634.Iggy-Azalea-Nick-Young-Forever-21-2.jl.102214


Iggy Azalea ni rapper wa Australia lakini mwenye hasira kama mtoto wa kike kutoka Tarime – ukuryani.

Ni kwasababu rapper huyo amemtishia mpenzi wake Nick Young kuukata uume wake kama akichepuka! Iggy Azalea alitoa mkwara huo kwenye kipindi cha Orlando & The Freakshow.
 
“[I don’t care] whatever bro code is or whatever unspoken code that is,” alisema Iggy Azalea. I don’t really care because I have an actual spoken commitment that you’re gonna get married to me. And that involves not doing any...
of those other things. So, screw guy code. I’m not really concerned about guy code…I’m not cool with it. Like you will have half a penis. I already said ‘One more video. Just one more thing and you will lose a quarter of your meat,” alitishia.

Mwezi uliopita, ilivuja video iliyorekodiwa kwa siri na mchezaji wa Los Angeles Lakers, D’Angelo Russell ambapo Young anayechezea timu hiyo pia alidaiwa kukiri kuwa alimsaliti Azalea na msichana mwenye miaka 19.
Pamoja na video hiyo, Iggy Azalea na Young bado ni wachumba.

0 comments:

Post a Comment