Pages

Subscribe:

Thursday, April 14, 2016

MR BLUE AFUNGA NDOA RASMI NA MAMA WATOTO WAKE

Hatimaye Mr blue kaachana na ukapera kaamua kumuoa mama watoto wake Wyder!!
Tazama picha hapa...
Mr blue simbaaa akiwa na mke wake halali kabisaaa Wyder !!! Hakika Blue nayeye ameingia katika list ya wasanii mifano ya kuigwa katika maswala ya ndoa.. tupia neno la kumtakia kheri katika maisha ya ndoa...!!!bado baba Tiffah

0 comments:

Post a Comment