Pages

Subscribe:

Thursday, April 14, 2016

DIAMOND: NINA NYUMBA AFRIKA KUSINI, SIWEZI KUNUNUA NYUMBA MAREKANI

Diamond amedai bora awe na kijiji cha nyumba Tandale kuliko  kununua nyumba Marekani japo anauwezo huo, na hata Afrika kusini ana nyumba kwasababu tu ana familia huko.

“Nna nyumba South Africa kwa sababu nina familia South Africa kwa hiyo ni lazima ninunue nyumba south Africa, lakini sina sababu ya kusema ninunue nyumba Marekani, ninunue nyumba Marekani kwa sababu gani, kwanza sipapendi, uongozi unajua...
kabisa,” Diamond alisema kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio.
plat
“Nyumba sio hela nyingi dola laki mbili kama milioni mia nne unanunua nyumba, so ni matakwa ya mtu mwenyewe, sasa usitake kununua nyumba Marekani wakati trip zako za kwenda Marekani ni chache, usitake kuonekana tu una mashauzi, mara kumi milioni 500 ukanunua nyumba pale Tandale karibuni 10 ukapost nna kijiji Tandale ukazipangisha ukaingiza hela kuliko Marekani,”  Diamond alisisitiza.

0 comments:

Post a Comment