Pages

Subscribe:

Thursday, April 14, 2016

PICHA YA UTUPU YA MR FLAVOUR YATIKISA INSTAGRAM

12445911_596053693884311_1042430651_n


Msanii wa Nigeria, Flavour amefanya kile ambacho tumekuwa tukikiona kikifanywa na wasanii wa Marekani tu na tena wa kike, kupiga picha za nusu utupu na kuweka hadharani. Kwenye picha hiyo Flavour anaonekana amekaa kwenye jacuzzi akiwa kama alivyozaliwa huku gitaa alilolishika likifunika sehemu zake za siri.
Hata hivyo kuna uwezekano mkubwa alikuwa...
amevaa boxer.
Nusu wameona ni sawa na nusu wengine wameona Flavour amezingua.

“There are many ways u can take a sexy pic aside dis shit. u are an entertainer doesn’t mean u should lose ur senses or throw caution to d wind. real men snap pics wit there kids,fiancees or frnds. u are popular alredy so u dont need 2 display dis childishness.

iimagine ur kids seeing dis pic in future? hw wil dey feel? ur guess is a gud as mine. God has blessed u,go make a foundation and bless others too instead of fooling urself on social media tinkin u are impressing us. dis pic is a disgrace to grown ass men like us,” ameandika shabiki mmoja.

0 comments:

Post a Comment