Pages

Subscribe:

Wednesday, April 20, 2016

DIAMOND PLATNUMZ ATANGAZA NAFASI ZA KAZI

Katika hali ya kuendelea kusaidia vijana wenzetu ambao bado wapo mtaani... Ndugu zangu kuna nafasi za kazi hapa @wcb_wasafi ...tunauhitaji wa: 
1. Videographer mweye uwezo wa kushoot na kuedit... 
2. Kijana Mwenye taaluma nzuri ya IT/ Socila Media Adminstrator Mwenye uwezo wa kuandika na Kuzungumza kingereza fasaha.... 
3. Secretary wa kike, Mwenye uwezo wa Kuandika Kiswahili na kingereza fasaha sio vingereza vya "baby i love you" au...
"Chilling home" mara "Less wig on fleek" sjui hapana, Fasaha.... wasiliana nasi kwa namba zetu +255757339215 au fika katika ofisi zetu zilizopo Sinza

0 comments:

Post a Comment