Pages

Subscribe:

Wednesday, April 27, 2016

DIAMOND ANUFAIKA NA UGOMVI WA P-SQUARE

Tangu utokee ugomvi wa kundi maarufu africa psquare kumesababisha huzuni miongoni wa mshabiki wao. Kila mmoja peter na paul wamekuwa wakifanya project binafsi. Hata baada ya kupatana hakuna project ya pamoja waliofanya.

Diamond amewakutanisha kwa mara ya kwanza kwenye project yake, tangu juzi wote peter na paul wapo south africa wakishoot video na diamond.
Juzi wote wameshare picha wakiwa pamoja wakishoot video hiyo na kuamsha... furaha ya mashabiki wao barani africa , na kusubiri kwa hamu kazi hiyo.

Nyimbo hiyo ya diamond inatarajiwa kupata attention kubwa miongoni mwa mashabiki na hii kuendelea kumtangaza zaidi diamond.

0 comments:

Post a Comment