Pages

Subscribe:

Friday, April 29, 2016

T.I.D: WEMA AKITAKA KURUDIANA NA MIMI HAKUNA NAFASI TENA

Akiwa Katika Kipindi cha Clouds 360 leo Mwanamuziki TID Amefunguka Kuhusu Kutoka na Wema Sepetu. "Nilikuwa "namdate" Wema Sepetu akaniambia Sikutaakiiii....tangu kipindi hicho nimekuwa na... Wasichana wengi. Ikitokea Wema Sepetu anataka kurudi hakuna nafasi Tena"I'm occupied".

Pia TID Amemuongelea Mwanamuziki Ommy Dimpoz na kusema kuwa yeye ndio aliyemtoa
 "Alikuja studio kwangu akiwa anavaa ndala na kupitia kwangu alijuana na watu muhimu kama Ali Kiba na Ruge Mutahaba". Anasema pia yeye anapenda na ni bora afanye video zake hapahapa Tanzania ili kuitangaza nchi yetu na vivutio vyake zaidi.

0 comments:

Post a Comment