Pages

Subscribe:

Tuesday, April 12, 2016

HIVI NDIVYO COLLABLE YA YEMI ALADE NA 2 FACE ITAKAVYO KUWA

Wakati album yake ya “Mama Africa”,ikitajwa kuwa the most dowloded album from Africa kwa mujibu wa mtandao wa Itune,sexy girl all the way kutoka Nigeria,Yemi Alade kupitia akaunti yake ya facebook amepost picha ikimuonesha akiwa studio na legend wa Naija flavour,2 face Idibia na kuandika ujumbe huu...
When African Queen meets Mama Africa you know we making magic! …… wanna know what we working on??? You will find out soon enough ! Lol… Coming soon..”.
Yemi Aalade post on 2 FACE
Wanamuziki hao ni wazi kuwa wana mashabiki wengi barani Afrika,hivyo kwa vyovyote vile colabo yao itakua na impact kubwa kwenye muziki wa Afrika,lets wait and see.
aladeeeeeeeeeeeeeeeeeee                                                                         Yemi Alade.
2face                                                                         2 Face Idibia.

0 comments:

Post a Comment