Pages

Subscribe:

Monday, August 28, 2017

WOLPER: AMBER RUTH HATAKI MTOTO WAKE AMUITE MAMA

Msanii wa filamu bongo Jackline Wolper ameweka wazi yale tusiyoyajua kuhusu 'video vixen' Amber Ruth ambaye amepata umaarufu kwa kupiga picha za utupu, na kusema kuwa asipokuwa makini ataishia jela. 

Akipiga stori na Big Chawa, Jackline Wolper ametuwekea bayana kuwa kuna watu wamempa taarifa nyingi za Amber Ruth hadi anakoishi ili aweze...
kumuanika vizuri zaidi mitandaoni jinsi anavyoishi maisha ya kudanganya, baada ya kuibuka kwa mgogoro baina yao pale alipomuonya kuhusu picha za utupu anazopiga, akimwambia anadhalilisha wanawake.

Wolper ameendelea kutulisha ubuyu kuwa mlimbwende huyo ambaye ana mtoto mkubwa wa takriban miaka 5, hapendi watu wajue kuwa ana mtoto na matokeo humwambia mtoto wake amuite wifi, ili kuficha watu wasigundue.

0 comments:

Post a Comment