Pages

Subscribe:

Thursday, August 31, 2017

KESI YA WEMA SEPETU HAKIMU AKANA KUPOKEA MSOKOTO WA BANGI

Hakimu Mkazi Kisutu
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imekataa kupokea ushahidi wa msokoto wa bangi na vipisi viwili vya madawa hayo ya kulevya katika kesi inayomkabili mwigizaji Wema Sepetu.

Uamuzi huo umetolewa na Hakimu, Thomas Simba, aliyesema mahakama haiwezi kupokea vielelezo hivyo kwa sababu msokoto wa bangi na vipisi vina...
kasoro kwa kuwa shahidi hakuvifafanua mahakamani. Kesi hiyo imeahirishwa hadi Septemba 12 mwaka huu.
Hakimu Mkazi Kisutu

0 comments:

Post a Comment