Pages

Subscribe:

Tuesday, August 29, 2017

MH MWIGULU: TUTUMIE UJUZI WA WAFUNGWA KUZALISHA MALI


Jana August 28, 2017 Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba wakati wa uzinduzi wa nyumba tano mpya za Maafisa wa Magereza. Arusha ameeleza kuwa ni vizuri wafungwa wenye ujuzi ambao wamemaliza vifungo watumiwe katika shughuli mbalimbali za uzalishaji mali nchini.

Waziri Mwigulu ameyasema hayo wakati anazindua nyumba tano za Maafisa wa Magereza Arusha zenye...
thamani ya Tsh. Milioni 261 ambazo zimejengwa na mafundi wa Magereza pamoja na Wafungwa.

Naye Kamishna Jenerali wa Magereza Dr. Juma Malewa amesema Jeshi hilo lina upungufu wa nyumba 9,800 lakini wanamshukuru Rais Magufuli kwa kutoa Tsh. Bilioni 10 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za maaskari.

0 comments:

Post a Comment