Pages

Subscribe:

Friday, August 25, 2017

MTANZANIA AISHIE CANADA ALAMBA DILI LA MAMILIONI

Unamkumbuka Herieth Paul, Mrembo Mtanzania ambaye amezaliwa Dar es Salaam lakini kaishi Canada na mama yake mzazi tangu akiwa na miaka 12 na Mtanzania aliyewahi kupata dili la Tsh. Bilioni 1 kwa kutokea kwenye onyesho la Victoria Secret, Ufaransa.

Sasa good news ni kwamba time hii mrembo huyo amepata nafasi ya...
kushiriki kwa mara ya pili onesho hilo la Victoria Secret.

0 comments:

Post a Comment