Pages

Subscribe:

Friday, August 25, 2017

HARMONIZE AMJIBU WOLPER: KUZUNGUMZIA VILIVYO PITA NI USHAMBA

Ni siku moja tu tangu Mwigizaji staa Jacqueline Wolper kuhojiwa na Mtangazaji Millard Ayo kuhusu kuachana na Mwimbaji wa Bongofleva Harmonize na kufunguka kiundani sababu ya kuachana naye huku akimtaja Sarah ambaye ni mwanamke mpya wa Harmonize na wengine.

Sasa Jana August 25, 2017 Harmonize ameamua kuandika maneno 16 kwenye Instagram yake yanayoashiria huenda ni majibu kwa mpenzi wake huyo wa zamani. Harmonize kaandika...
>>>”KUZUNGUMZIA VILIVYO PITA TENA KIUNDANI NI USHAMBA TUFANYE MAISHA AU MNASEMAJE WANANGU WA MTAA #NDIKUMANA_RAPA…? #TANGA_CITY_LOUNGE 2/9/2017″

H

0 comments:

Post a Comment