Pages

Subscribe:

Sunday, August 27, 2017

MASHABIKI WAZUA MANENO JUU YA PICHA YA PATORANKING NA MTOTO

Ikiwa imepita kama wiki toka msanii wa muziki nchini Nigeria, Pantoranking kuweka bayana anatarajia kupata mtoto na mpenzi wake, hatimaye msanii huyo ameweka picha akiwa na mtoto wake.

Kwa mujibu wa picha aliyowekwa na msanii huyo katika mtandao wa Instagram imeonyesha akiwa na familia yake hiyo, hata hivyo picha ya mtoto huyo imezua utata kwa baadhi ya mashabiki na kusema kuwa mtoto huyo sio wa kuzaliwa leo kwani ni mkubwa kulinganisha na taarifa alivyoitoa hapo awali.

prince_elliot1 The baby big pass two...
months baby oh
atemidire Congrats for new Bady may god the Bady blessingrex5 Congrats badgerbling Legend are born…..congratulation bro mtsabha_sa South African baby morraine23 That baby don’t look like a newborn sha mz_krimee Dis baby is newly born??

Picha iliyowekwa na msanii huyo pia imeweza kuza zogo katika mitandao mbalimbali ya nchini Nigeria ikidai huwenda hiyo ni moja ya vipande vinavyopatikana katika video ya ngoma yake mpya.

0 comments:

Post a Comment