Pages

Subscribe:

Thursday, August 31, 2017

TAYLOR SWIFT AVUNJA REKODI AFIKISHA VIEWS MILIONI 74 NDANI YA SAA 72

Ni juzi tu staa wa Bongofleva Alikiba alitoa shukrani kwa mashabiki wake baada ya video yake mpya ‘Seduce Me’ kufikisha views milioni mbili ndani ya saa 72 yaani siku tatu na kuweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza Tanzania kuifikia rekodi hiyo.

Sasa huko Marekani rekodi mpya imewekwa pia baada ya mastaa Taylor Swift na Kart Perry kuonekana kushindanishwa sana na mashabiki kila...
wanapoachia video mpya YouTube.

Unaambiwa wimbo wa Kart Perry ‘Swish Swish’ ulikuwa na views zaidi ya Milioni 56 tangu auachie August 27, 2017 wakati wimbo wa Taylor Swift ‘Look What You Made Me Do’ ukifikisha views Milioni 74 ndani ya saa 72 ikiwa ni ishara kuwa Taylor amempiga bao mshindani wake Kart Perry.

0 comments:

Post a Comment