Pages

Subscribe:

Tuesday, March 10, 2015

HATIMAYE CHADEMA WAMBWAGA ZITTO KABWE MAHAKAMANI

Hatimaye chama kimeshinda kesi dhidi ya aliyekuwa mwanachama wake Zitto Kabwe. Mahakama imeamua katika hukumu yake leo kuwa Chama kinaweza kuendelea na taratibu zake. Aidha, Mahakama imeamuru Zitto alipe gharama zote za... kesi. Wanasheria wa chama, Peter Kibatala na John Mallya wataongea na Vyombo vya Habari punde. Hongera Mwanasheria Peter Kibatala.

0 comments:

Post a Comment