Pages

Subscribe:

Wednesday, February 17, 2016

AUDIO: SIMU YA DONGO JANJA AKIIPONDA TIP TOP MBELE YA DEMU WAKE YAVUJA


Dogo janja anaamini ukimya wake umesababishwa na uongozi wa kundi  la TipTop Connection. Kwenye audio iliyovuja ya mazungumzo ya Dogo janja na mpenzi wake, Dogo janja anasema TipTop walimrudisha kundini ili wampoteze kabisa kwenye tasnia ya muziki.

 Download

“Sometimes nahisi kama vile kina Tale, kina Madee, Kina Tunda kama wananibania hivi yani wanakunja kunja, si unajua kwasababu wale me nilikua naiva nao kwahiyo...
nahisi kama wamenirudisha kundini ili wanipoteze kabisa…. lakini wale wenyewe wanajua kipaji changu” Dogo janja anaelezea

“Sometimes ndio hivyo me sio mtu wakuongea ni mtu wa kuumia ndani sana  japo kuwa nacheka nao, lakini nacheka nao kipompile yah hata siwazimii sasa hivi, me naona miyeyusho” Anaongeza.
Isikilize audio nzima ya mazungumzo hapo juu

0 comments:

Post a Comment