Pages

Subscribe:

Thursday, February 11, 2016

AGNESS MASOGANGE: MNAPOTEZA MUDA WENU KUNIJADILI MIMI

Video Queen maarufu Bongo, Agness Jerald ‘Masogange’ amewataka watu kufanya kazi na kuacha kumjadili kwani kwa kufanya hivyo wanapoteza bure muda wao. Akiteta na GPL, Masogange alisema watu wamekuwa hawafanyi mambo yao binafsi bali kujadili mambo ya watu wengine kitu ambacho siyo sahihi.

“Mimi naona wanapoteza muda tu kunijadili, wangefanya mambo yao wangeweza kuendelea kuliko kunijadili mimi hapa naona...
watachelewa kwenye mafanikio yao,” alisema Masogange.

0 comments:

Post a Comment