Pages

Subscribe:

Saturday, February 13, 2016

PENZI LA IDRIS NA WEMA LAFIKIA HAPA

Baada ya Tetesi za Mimba ya Wema Sepetu Kutoka Kukosa Jibu mpaka sasa leo Kuna kitu kinaendelea Instagram na ni dalili kuwa Idris Sultani na Wema Sepetu wamebwagana Baada ya Idris kugundua hamna Cha kijachoo! Nimeona Nay wa mitego kapost na Soudy naye akarepost alicho post Nay! ukipita katika Account ya Idris Insta utaona maneno ayao andika ni kama kuna kibutiii kimetembea!

Maneno ya Idriss Instagram Siku ya Leo haya hapa:
Idrissultan: Being happy haimaanishi kila kitu kipo sawa, inamaanisha umeamua kuangalia mbele zaidi na kisha kuyapita matatizo na kuyaona mazuri tu, inamaanisha umeiona siku utakayoamka na kukuta uliyoyataka yapo mezani, inamaanisha nashukuru Mungu hata baada ya... yote umeniacha hai, inamaanisha wote nnaowapenda na kuwahitaji katika wakati kama huu nipo nao, inamaanisha am focused on the goal na sio vikwazo

Idrissultan
Dont wait for someone to bless your day, bless your own days


Idrissultan
I repeat  "Value people who love you truly". Misuse 1 true person to you and you ll be left with 100 fake people


Baadhi ya Comments za Mashabiki:

rebeccapeter754
ka kwel mmeachana@idrissultan na@wemasepetu mjue mmeniumiza moyo wangu ila nakupenda wema wangu jaman

Elizabethmichaelofficialy
 Jana nikisikia Idrisa akimsimulia mtu wa karibu kuwa yamemfika hapaaa kaamua kuvua gamba na hataki ushuru wa mtu kashaamua hivyo na hatozungumzia hiyo issue


bint_hamida
@dah wallah siamini najuta kuingia ista Leo @idrissultan @wemasepetu msitufanyie hivyo jamani

Gracey_jioms
 @wemasepetu @idrissultan Please Never Give Up On Each Other!!! A Relationship is Made Of Two imperfect Characters who overlooks Each others imperfections.


basmalatimhando79
@nisher_qualityhair...huruma inahitajika mana cku nyingine itabid tutulie ili tuone mwisho wake kujitia presha staki tena ingawa kukipotezea kitu unachokipenda ngum...inahitajika roho ya malaika mtoa roho za watu.

0 comments:

Post a Comment