Pages

Subscribe:

Tuesday, February 16, 2016

NAY: OMMY DIMPOZ AKIPATA MTOTO NDIYO NTABISHANA NAE

Rapa mtukutu kutoka kiwanda cha muziki Tanzania, Nay wa Mitego, amejibu shutuma za msanii mwenzie Ommy Dimpoz aliyemtaka akapime DNA ili kujiridhisha kuwa mtoto aliyenaye (Curtis) ni wake ama la.

Akizungumzia kauli hiyo, Nay amesema anaona kauli hiyo haina maana kwa kuwa mtoto ni wake na kuongeza kuwa hawezi... kubishana na Ommy sababu hana mtoto hata wa kusingiziwa.
“Mimi kwenye shika adabu yako nilimchana Ommy, kiukweli tetesi zilizopo mtaani yule jamaa (Ommy) hajawahi kuonekana na demu hapa Bongo Live.

Ameishia tu mara kupost wanawake waliopo Ulaya wakimbusumbusu, kwanini hatumuoni na mademu hapa? wakati wanawake wa Kiafrika ndio wazuri zaidi na wanakila kitu? kuhusu mtoto siwezi bishana nae, angekuwa na yeye anamtoto sawa, akipata mtoto nitamjibu kuhusu DNA”

0 comments:

Post a Comment